Fainali za Kombe la Dunia za 23 zitaandaliwa kwa pamoja na mataifa ya Mexico, Canada na Mexico kuanzia Juni 11 na Julai 19.
Viwanja 16 vilivyo katika miji 16 tofauti vitaandaa mechi 104.
Canada itaandaa mechi katika miji ya Toronto na Vancouver kila mji ukiwa na uga mmoja.
Uga wa BC Place-Uga huu unapatikana katika eneo la British Columbia,mjini Vancouver, Canada na ulifunguliwa mwaka 1983.
Ulifanyiwa ukarabati mwaka 2011 na unaselehi mashabiki 54,000.


Mechi saba zitapigwa katika kiwara hiki zikiwa;
Australia v Turkey, 13 June
Canada v Qatar, 18 June
New Zealand v Egypt, 21 June
Switzerland v Canada, 24 June
New Zealand v Belgium, 26 June
Round of 32, 2 July (1B v 3EFGIJ)
Round of 16, 7 July (W85 v W87)
Uwanja huo uliandaa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya 2010, na una paa ambalo lawezafungwa au kufunguliwa kulingana na hali ya anga.

Uwanja wa BMO-Toronto
Ni uwanja ulio mjini Totoronto na unamudu mashabiki 45,000
Uwanja wa BMO ulifunguliwa mwaka 2007 kabla ya kufanyiwa ukarabati mwaka 2016
Uwanja huu utandaa mechi tano za makundi
Mechi za Kombe la Dunia zitakazochezwa katika uwanja wa BMO
Canada v Bosnia and Herzegovina, 12 June
Ghana v Panama, 17 June
Germany v Côte d’Ivoire, 20 June
Panama v Croatia, 23 June
Senegal v Iraq, 26 June
Round of 32, 2 July (2K v 2L)