Dunia Wiki Hii: Maafisa 6 wa polisi wauawa na wengine kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Pakistan

radiotaifa
0 Min Read

Magaidi wasiojulikana walishambulia kituo cha polisi cha Chaudhwan kwenye eneo la Dera Ismail Khan kwa kutumia bunduki, bastola za rasharasha na guruneti za kurushwa kwa mikono kwa mujibu wa taarifa za polisi kwa shirika la Xinhua.

https://art19.com/shows/taarifa/episodes/55233fe5-78c0-48b6-98f7-f9187ecfc137

Share This Article