Kongamano la 15 la jumuiya ya mataifa ya BRICS kilifanyika nchini Afrika Kusini ambapo masuala mengi yakijadiliwa. viongozi wa muungano huo walitoa wito kwa mataifa mengine kujiunga nao.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/abaea976-1022-4393-a3bf-0ab8b22f6505