Waziri wa Afya Aden Duale amezindua shughuli ya kuweka mitambo ya kidijitali katika hospitali zote za kuanti ya Garissa siku ya Ijumaa .
Takriban huduma za afya 1,114 zinazotolewa katika hospitali za umma katika kaunti hiyo zitapatikana kwa njia ya kidijitali.
Mfumo huo unalenga kurahisha utoaji huduma na uwekaji kumbukumbu.
Aidha Duale ametangaza kufunga kwa hospitali 875 ambazo zilikiuka sheria za chama cha madatari wa meno na matabibu KMPDC hukumalipo ghushi ya malipo ya bima ya mataibabu iliyofungwa NHIF zikifutwa.