Kulingana na Shirika la Afya Duniani, WHO, magonjwa ya moyo ndio husababisha vifo vingi zaidi duniani. Leo, katika kipindi chetu cha Daktari wa Redio, tutaangazia ugonjwa wa moyo unaosababisha moyo kuacha kufanya kazi.
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/1b7a4ab9-60ba-4e4f-89b6-aa2da8e67d7c