Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, ambaye awali aliahidi kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu iwapo angetembelea jiji hilo, sasa amesema hana mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.…