Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mtu yeyote anayejihusisha na vitendo vya kihuni atachukuliwa hatua kali ya kisheria punde ushahidi dhidi yake utakapobainika. Msemaji wa serikali Isaac Mwaura ameonya kuwa serikali haitavumilia kukithiri kwa vitendo vya…