Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maelfu ya raia wa kigeni wameondoka Afrika Kusini kufuatia vitisho vilivyotolewa na makundi yanayopinga wahamiaji, yaliyotaka wageni wasio na vibali kuondoka nchini kabla ya tarehe 30 Juni 2026. Katika miezi…