Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji Gatembu Kairu amechaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Rufaa. Anajaza pengo lililowacha wazi na Jaji Daniel Musinga ambaye kipindi chake cha kuhudumu cha miaka mitano kilimalizika. Jaji Wanjiru Karanja…