Timu ya kaunti ya Busia imefuzu kwa fainali ya wasichana katika makala ya kwanza ya mashindano Talanta Hela,ya chipukizi wasiozidi umri wa miaka 19 .Busia wafuzu kwa fainali ya wasichana ya Talanta Hela
Busia wametinga fainali Jumapili baada ya kuwalabua Homa Bay magoli 5 bila jawabu katika nusu fainali iliyopigwa ugani Nyayo.