Uchumi wa nchi umekua kwa asilimia 5.4 katika robo ya pili ya mwaka huu ikilinganishwa na asilimia 5.2 katika kipindi sawia mwaka uliopita. Shirika la kitaifa la takwimu nchini, KNBS, lilisema ukuaji huo ulichangiwa na kuimarika kwa sekta ya kilimo.
https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/37bb3a5a-8afe-4ca0-83a1-ec0e3a7c1c77