Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars Adel Amrouche ametaja kikosi cha wachezaji 25 watakaoshiriki michuano ya AFCON.
Fainali za 34 za kipute cha AFCON zitaandaliwa nchini Ivory Coast baina ya Januari 13 na Februari 11 mwaka 2024 .
Tanzania wamo kundi F pamoja na Morocco,Zambia na Jamhuri ya demokrasis ya Congo.
Kikosi kamili
Makipa
Kwesi Kawawa
Beno Kakolanya
Aishi Manula
Makipa
Israel Mwenda
Mohamed Hussein
Bakari Mwamnyeto
Dickson Job
Nickson Kibabage
Lusajo Mwaikenda
Adam Kasa
Zion Chebe Nditi
Mark John
Miano Danilo
Wachezaji wa kiungo
Yusuf Kagoma
Mzamiru Yassin
Sospeter Bajana
Adolf Bitegeko
Roberto Yohana
Edwin Balua
Said Hamis
Tarryn Allarakhia
Washambulizi
Kibu Dennis
Adbul Suleiman
Ladaki Chasambi
Simon Msuva