Abiud Chirchir asajiliwa na klabu ya Damac nchini Saudia

Dismas Otuke
0 Min Read

Mchezaji voliboli wa timu ya taifa Abiud Chirchir amesainiwa na klabu ya Damac nchini Saudia Arabia kwa msimu wa mwaka 2024-2025.

Awali Chirchir ameichezea klabu za Grand Nancy Volleyball ya Ufransa na Olympique de Kelibiaya Tunisia.

Share This Article