Wakandarasi na mafundi wamehimizwa na halmashauri ya ujenzi wa kitaifa NCA kujitokeza na kujisajilisha na mamlaka hiyo ikiwa ni njia moja ya tahadhari. Aidha Usajili huo ni sehemu moja ya kazi ambayo halmashauri hiyo inaendeleza kuafikia mfumo wa kidijitali
https://art19.com/shows/zinga/episodes/84aa6c26-a561-4541-bbd7-212ea5ec00f2