Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA kilianza jijini New York, Marekani Septemba 5 huku shughuli za ngazi za juu zikiandaliwa baina ya Septemba 18 na 22. Marais, wakuu wa serikali, mawaziri, mashirika ya utoaji misaada na yale ya kijamii yanakusanyika kuandaa na kushiriki hafla mbalimbali.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/eede194d-7755-4b48-aec3-a5b6a2c9310e