Marekani imewatuma wanajeshi 2,000 wa majini Mashariki ya Kati katika juhudi za kuendeleza mashambulizi nchini Iran.
Kulingana na msemaji mmoja wa Marekani, makundi ya Roosevelt Strike Group na Makin Island Force yalibebwa na vifaru vitatu yaliyokuwa na wanajeshi 2,000 wa majini yaliondoka mjini San Diego huku wengine wakitarajiwa kuongezwa mwezi ujao.
Wanajeshi wa Majini wa Uingereza wamesema kuwa kifaru kimoja kikubwa kililipuliwa na kusababisha moto mkubwa katika Mlango Bahari wa Hormuz.
Mwanamume mmoja wa Uingereza mwenye asili ya Iran amaekamatwa kuhusiana na kisa hicho na amewekwa gerezani katikati ya London.
Aidha, majeshi ya serikali ya Yemen yamekiri kutekeleza mashambulizi ya chini ya ardhi na kusababisha uharibifu mkubwa.