Uhispania watwaa Kombe la Dunia kwa vipusa chini ya miaka 20

alti baada ya sare tasa katika dakika 90. Uhispania walinyakua kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2022 waliposhindwa na Korea Kaskazini.

Dismas Otuke
1 Min Read

Uhispania walinyakua Kombe la Dunia kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 kwa wasichana baada ya kuwashinda Korea Kaskazini mabao 4-3 kupitia mikwaju ya penalti baada ya sare tasa katika dakika 90.

Uhispania walinyakua kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2022 waliposhindwa na Korea Kaskazini.

Uhispania sasa imenyakua mataji mawili ya Kombe la Dunia kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17, mataji mawili ya Kombe la Dunia kwa wasichana chini ya umri wa miaka 20 na Kombe la Dunia la wanawake katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita.

Aidha, Uhispania walinyakua Kombe la Dunia kwa wanaume mwaka huu.

Share This Article