Rais wa Soka nchini Nigeria,Ibrahim Gusau ajiuzulu

Wanachama hao wanane kati ya 13 wa halmashauri walojiuzulu wanafanya maafisa watano waliosalia kutokuwa na uwezo kuendesha shule za kawaida za NFF.

Dismas Otuke
1 Min Read

Rais wa Shirikisho la kandanda nchini Nigeria (NFF)Ibrahim Gusau, amejiuzulu pamoja na wanachama wanane wa bodi hiyo kufuatia shinikizo kali kuhusu usimamizi duni.

Gusau ameshutumiwa vikali kuhusiana na kukosa kufuzu kwa timu ya wanaume kwa Kombe la Dunia mwaka huu na pia kushindwa kufuzu kwa timu ya wanawake kwa kombe la dunia mwaka ujao kwa mara ya kwanza katika historia tangu mwaka 1991 .

Wanachama hao wanane kati ya 13 wa halmashauri walojiuzulu wanafanya maafisa watano waliosalia kutokuwa na uwezo kuendesha shule za kawaida za NFF.

Yamkini kumetuwa na uetepetevu wa hali ya juu katiam uongozi wa soka nchini Nigeria huku wanachama wa bodi wakishawishi kuhusu wachezaji wanaojumusihwa katika timu za taifa.

Share This Article