Kocha wa Craotia Zlatko Dalic ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa huo siku chache baada ya timu yake kubanduliwa nje ya fainali za Kombe la Dunia na Ureno.
Dalic ameondoka Croatia baada ya kuwa usukani kwa miaka tisa akimaliza katika nafasi za pili na tatu katika Kombe la Dunia mwaka 2018 na 2022 mtawalia.
Croatia walibanduliwa na Ureno katika awamu ya 32.