Mexico itaandaa jumla ya mechi 13 za Kombe la Dunia katika miji ya Guadalajara, Monterrey na Mexico City baina ya Juni 11 na Julai 19 mwaka huu.
Uwanja wa Guadalajara
Uwanja huu ulifunguliwa mwaka 2010, kabla ya kukarabatiwa kwa fainali za mwaka huu za Kombe la Dunia.
Idadi ya mashabiki ambao uwanja huu unamudi ni 48,000.
Mechi za Kombe la Dunia zitakazochezwa uwanjani
South Korea v Czechia, 11 June
Mexico v South Korea, 18 June
Colombia v Democratic Republic of Congo, 23 June
Uruguay v Spain, 26 June
Uwanja wa Mexico City(Azteca)

Uwanja huu unapatikana katika mji mkuu wa Mexico City, na ulijengwa mwaka 1966 kabla ya kukarabatiwa mwaka huu.
Idadi ya mashababiki wanaotoshea katika kiwara hiki ni 83,000.
Mechi za Kombe la Dunia zitakazochezwa katika wa Uwanja wa Mexico City (Azteca)
Mexico v South Africa, 11 June
Uzbekistan v Colombia, 17 June
Czechia v Mexico, 24 June
Round of 32, 30 June (1A v 3CEFHI)
Round of 16, 5 June (W79 v W80)
Uwanja wa Monterrey

Uwanja huu unafahamika kwa jina la Estadio BBVA na upo mjini Guadalupe, Nuevo León, Mexico
Ni uwanja uliofunguliwa rasmi mwaka 2015 na unamudu mashabiki 53,500
Mechi nne za Kombe la Dunia mwaka huu zitapigwa hapa zikiwa;
Sweden v Tunisia, 14 June
Tunisia v Japan, 21 June
South Africa v South Korea, 24 June
Round of 32, 29 June (1F v 2C)
Zimesalia siku 9 kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia.