Timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wanaume saba upande imemeliza ya nane katika msururu wa pili wa dunia wa Valladolid, nchini Uhispania.
Kenya imeshindwa pointi 5-14 na Ufaransa, katika mechi hiyo ya kuwania nafasi ya 7 na nane Jumapili Adhuhuri.
Shujaa ilizoa alama 8 katika msururu wa Hongkong, mwezi jana ilipomaliza ya saba.
Kenya wataelekea Ufaransa kwa mkondo wa Bordeaux kati ya Juni 5-7 mwaka huu,