Trump adokeza kukaribia mwafaka wa amani Iran

Pakistan imekiri kufanya mazungumzo ya kufana na Iran, na wanakaribia kupata mwafaka kati ya Marekani na Iran.

Dismas Otuke
1 Min Read

Rais wa Marekani Donald Trump, amedokeza kuwa mwafaka wa kusitisha vita nchini Iran, unakaribia.

Hata hivyo Trump kupitia kwa mtandao wake wa kijamii amesema mwafaka huo unatagemea pakubwa na mazungumzo kati ya Marekani na Iran.

Trump,amesema kuwa makubaliano hayo huenda yakatangazwa wakati wowote.

Pakistan imekiri kufanya mazungumzo ya kufana na Iran, na wanakaribia kupata mwafaka  kati ya Marekani, na Iran.

Mashmabulizi ya Israel yanaendelea kutekeleza mashambulizi ya angani kusini mwa Lebanon, na kuwaua watu wapatao 3,123 tangu Machi 2, mwaka huu licha ya kuwepo kwa majadiliano ya kumaliza vita.

Share This Article