Mashindano ya Riadha Afrika yaanza leo Ghana

Kenya itakuwa ikilenga kuboresha matokeo ya mwaka 2024 mjini Doula,Cameroon, kwa medali 19,dhahabu 7 na shaba 7.

Dismas Otuke
0 Min Read

Makala ya 24 ya mashindano ya Riadha barani Afrika, yameanza leo Jumanne katika Chuo Kikuu cha Accra nchini Ghana .

Kenya inawakilishwa na wanariadha 74 kwenye mashindano hayo yatakayokamilika Jumapili hii.

Kenya itakuwa ikilenga kuboresha matokeo ya mwaka 2024, mjini Doula,Cameroon, kwa medali 19,dhahabu 7 na shaba 7.

Share This Article