‘Tumefaulu kufunga bandari za Iran’asema Rais Trump

Dismas Otuke
1 Min Read
Donald Trump - Rais wa Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa wamefanikiwa kufunga bandari zote za Iran, na kuitaka nchi hiyo kukubali kushindwa.

Hata hivyo,Spika wa Bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf, amepuuzilia mbali kampeini hiyo ya kiuchumi ya Marekani, huku majeshi yake yakisema yalisitisha vita kutoa fursa kwa mazungumzo.

Mzozo wa mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, umechangia kuongezeka kwa bei za mafuta ulimwenguni, huku Marekani ikinakili ongezeko kubwa la bei kwa kipindi cha miaka minne .

Share This Article