Kamati ya Bunge kukutana na uongozi wa FKF Jumanne

Dismas Otuke
0 Min Read

Kamati ya bunge la kitaifa inayosimamia michezo itakutana na uongozi wa shirikisho la soka nchini FKF Jumanne Aprili 28.

Maswala yatakayojadiliwa ni maandalizi kwa fainali za mwaka ujao za Kombe la mataifa ya Afrika AFCON,pamoja na athari za  mzozo wa uongozi ambao umegubika shirikisho hilo kwa kipute hicho.

Kamati hiyo inayongozwa na Mbunge wa Webuye Magharibi Dan Wanyama inatarajiwa kuanza vikao vyake saa nne asubuhi.

Share This Article