Shabana FC yamrejesha tena Osborn Monday kama Naibu Kocha

Dismas Otuke
0 Min Read

Klabu ya Shabana FC imemteua Osborne Monday kuwa naibu Kocha  kocha hadi mwishoni mwa msimu huu.

Monday aligura Shabana mwanzoni mwa msimu akielekea Murang’a Seal na anarejea tena baada ya kutimuliwa na Seal wiki jana.

Share This Article