Wanafunzi wa Junior Secondary kukalia mtihani wa kitaifa kuanzia mwaka huu

Dismas Otuke
1 Min Read

Wanafunzi wa Junior Secondary watafanya mtihani wa kitaifa (KJSEA) mwaka huu kwa mara ya kwanza.

Haya yametangazwa leo wakati wa kutolewa kwa matokeo ya mtihani wa kitaifa wa mwaka jana wa kidato cha nne KCSE.

Mtihani wa KJSEA utafanywa na wanafunzi 1,145,585 ,ambao wameingia Gredi ya  tisa mwaka huu baada ya kumaliza gredi ya 8 mwaka uliopita.

Aidha usajili wa wanafunzi kwa mtihani wa kitaifa wa gedi ya sita wa KPSEA utafunguliwa rasmi Januari 27 mwaka huu, wakati usajili kwa mtihani wa KCSE  ukiratibiwa kuanza tarehe  17 mwezi ujao.

 

TAGGED:
Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *