Maafisa wa polisi eneo la mukaa kaunti ya Makueni wanaendelea kuchunguza kisa cha kutamausha ambapo kijana wa umri wa makamu anadaiwa kumuua babake kutokana na mzozo wa mavuno
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/f4d9dad8-8465-4fac-a184-e146c09cf059