Ufisadi bado umeorodheshwa kama mojawapo ya matatizo makubwa yanayoikabili nchi yetu. Licha ya hatua muhimu zilizochukuliwa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC katika kuleta utulivu katika sekta mbalimbali za uchumi, bado janga hilo limesalia kuwa mwiba nchini.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/582dcbac-87ea-432a-aaed-c67edc1df121