Wananchi wanaopata mgao wa fedha kutoka kwa serikali kupitia mradi wa Inua Jamii wamekuwa wakitaka serikali kuongeza mgao huo, lakini ni hatua zipi ambazo serikali inaweka kuhakikisha hakuna atakayekosa kunufaika ?
https://art19.com/shows/zinga/episodes/50da70b8-026f-421e-982b-459ac5f59ee9