Kiongozi wa walio wachache katika bunge la seneti Stewart Madzayo amesisitiza kuwa mrengo wa Azimio haufanyi mazungumzo ya kujiingiza ndani ya serikali ya Kenya Kwanza bali kutetea maslahi ya wananchi walio wachagua
https://art19.com/shows/zinga/episodes/a452ab1c-b1b3-400c-9b4f-226dfdf8da09
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.