Westham yasusia dau la Arsenal kumsajili Rice

Dismas Otuke
0 Min Read

West Ham United  wamekatalia mbali ofa ya pauni milioni 90 kutoka kwa Arsenal kama ada ya kumsajili mwanandinga Declan Rice.

Westham ambao ni mabingwa wa kombe la Europa Conference League, wamesemekana kuwa radhi kumwachilia Rice kugura kwa ofa kubwa wakisubiria dau kutoka kwa mabingwa wa Ulaya Manchester City na mabingwa wa Ujerumani,Bayern Munich.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *