Mabingwa watetezi Ferdinand Omanyala na Wycliff Kinyamal, ni miongoni mwa wanariadha 52 waliochaguliwa kuiwakilisha Kenya katika makala ya 23 ya michezo ya jumuiya ya Madola kuanzia tarehe 23 mwezi ujao.
Omnayala atakuwa akitetea taji ya mita 100 huku Kinyamal akilenga kuhifadhi ile ya mita 800,walizotwaa katika makala ya mwaka 2022 mjini Birmingham,Uingereza.
Kikosi hicho kilitangazwa na kukabidhiwa kwa Kamati ya Olimpiki NOC-K siku ya Jumamosi kufuatia majaribio ya siku tatu uwanjani Nyayo.
Mabingwa wa Dunia,Faith Cherotich (mita 3000msc),Lillian Odira(ita 800) na bingwa wa Dunia mwaka 2019, Timothy Cheruiyot( mita 1500).
Timu hiyo itaripoti kambinu wiki hii kuanza mazoezi kabla ya kuondoa nchini mapema mwezi ujao kuelekea Scotland kwa maka la 23 kati ya Julai 23 na Agosti 2.
Kenya ilimaliza ya 13 kwenye mashindano ya mwaka 2022 kwa dhahabu 6 fedha 5 na shaba 10.
Kikosi kilichotajwa
Mita 100
Wanawake
Milcent Ndoro
Wanaume
Ferdinand Omanyala,Meshack Babu,Mark Otieno
Mita 100 kuruka viunzi wanawake
Rukia Nusra Omulisia
Mita 200 Wanaume
Zablon Ekwam,Elkana Kiprotich Sabila
Mita 400m
Wanawake
Mercy Oketch,Mercy Chebet,Nancy Jepkosgei
Wanaume
Kelvin Tonoui,Boniface Mweresa,George Mutinda
Mita 400 kuruka viunzi
Wanawake
Vanice Kerubo Nyakisera
Wanaume
Kipkorir Rotich
Mita 800
Wanawake
Lilian Odira,Janet Jepkemoi Amimo,Vivian Chebet
Wanaume
Wyclife Kinyamal,Kelvin Kimtai Loti,Nicholas Kiplagat
Maili moja
Wanawake
Naomi Korir,Teresiah Muthoni Gateri,Rosemary Longisa
Wanaume
Timothy Cheruiyot,Reynold Cheruiyot,Brian Komen
Mita 3000 kuruka viunzi na maji
Wanawake
Celestine Biwot,Faith Cherotich
Wanaume
Simon Koech,Edmund Serem,Leonard Kipkemoi Bett
Mita 5000
Wanawake
Caroline Nyaga Nyagothie,Rebecca Mwangi
Wanaume
Mathew Kipchumba Kipsang,Cornelius Kibet Kemboi,Andrew Kiptoo Alamisi
Mita 10,000
Wanawawake
Diana Wanza,Miriam Chebet
Wanaume
Ishmael Rokitto Kipkurui,Edwin Kipkosgei Kurgat,Daniel Ebenyo
Mita 10,000 matembezi
Wanaume
Stephen Ndangiri Kihu
Wanawake
Sylvia Jerono Kemboi
High jump men
Asbel Kiprop Kemboi
Long jump women
Faith Kipsang Jepkemboi
Triple jump men
Kevin Kiprono Kemboi
Hammer men
Dominic Ongidi Abunda
Shot put women
Belinda Adhiambo Oburu
Javelin women
Irene Jepkemboi
Javelin men
Julius Yego
Decathlon men
Edwin Too
4x100m men
Ferdinand Omanyala,Meshack Babu,Mark Otieno,Zablon Ekwam,Elkana Kiprotich Sabila
4x400m mixed
Mercy Oketch,Mercy Chebet,Nancy Jepkosgei,Kelvin Tonoui,Boniface Mweresa,George Mutinda