Ureno walenga kusahau masaibu ya Wakongo watakapokabiliana na Uzbekistan

Dismas Otuke
1 Min Read

Ureno watajaribu kuweka kando masaibu ya kwenda sare na DRC katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia wakatakapokabilian na Uzbekistan Jumanne jioni katika kundi K mjini Houston, Texas.

Ghana walioshinda mechi ya ufunguzi ya kundi L dhidi ya Panama watachuana na Uingereza ukipenda Three Lions, waliofungua kwa ushindi dhidi ya Croatia kuanzia saa tano usiku.

Panama na Croatia walioshindwa mechi za ufunguzi kundini L watamenyana kuanzia saa saba, kabla ya Colombia na DRC kumaliza udhia katika kundi K.

Share This Article