Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutoka Zimbabwe na mkewe ni miongoni mwa watu 6 waliofariki katika ajali ya helikopta iliyotokea jana Jumatano jioni viungani mwa mji wa Harare.