Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Denis Kipkoech na Diana Chepkwemoi waliishindia Kenya nishani za fedha na shaba katika siku ya tatu, ya mashindano ya Riadha Ulimwengni kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 mjini Lima…