Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wazee na wakazi wa kaunti ya Isiolo wameitaka serikali ya kitaifa kuchukua hatua za haraka kutatua mgogoro wa uongozi na kisheria unaoendelea kushuhudiwa katika kaunti hiyo, siku chache baada ya…