Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Asilimia 57 ya wapiga kura 73,480 katika eneo bunge la Ol Kalou walijitokeza kumchagua mbunge wao mpya wakati wa uchaguzi mdogo ulioandaliwa jana Alhamisi. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka…