Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya Jonathan Musau Muungano wa viongozi wa makanisa eneo la Ukambani umeshtumu vikali Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini, IEBC kwa kushindwa kukomesha hulka ya viongozi wa kisiasa…