Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakulima kote nchini wametakiwa kutumia mpango wa mbolea ya ruzuku uliotangazwa na Rais William Ruto kununua mbolea hiyo ya bei nafuu ili kuimarisha mazao yao msimu ujao wa upanzi. Kwenye…