Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hakuna mfanyakazi yeyote wa iliyokuwa Bima ya Kitaifa ya Afya, NHIF atakayepoteza kazi yake. Hakikisho hilo limetolewa na Rais William Ruto katika hotuba yake kwa taifa wakati wa sherehe za…