Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakenya wanaotuma maombi ya kitambulisho kipya cha kitaifa kwa mara ya kwanza hawatatozwa ada yoyote hadi mwaka 2027. Aidha, wale wanaotaka kubadilisha vitambulisho vyao baada ya kupoteza vile vya awali…