Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mama Taifa Rachel Ruto amesisitiza umuhimu wa watu wazima kuchukua jukumu ongozi la kuwalinda watoto katika jamii. Hususan, ametaka mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa…