Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu wa Idara ya Petroli katika Wizara ya Nishati, Mohamed Liban, jana Jumatatu alizindua rasmi mpango wa kuwapatia vijana fursa za kujiendeleza kiuchumi (NYOTA) katika kaunti ya Isiolo, hatua muhimu…