Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Utalii na Wanyamapori imesema idadi ya watalii waliozuru maeneo tofauti hapa nchini mwaka 2025, iliongezeka hadi watalii milioni 7.9 Kwenye ripoti iliyotolewa na wizara hiyo, watalii milioni 2.7…