Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imeongheza maandalizi ya kuhakikisha usalama wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. IEBC inatoa wito wa ushirikiano wa karibu miongoni mwa wadau wa usalama,…