Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya Jonathan Musau Serikali imehimizwa kuwezesha taasisi za kiufundi, TVET za kibinafsi kama mbinu mojawapo ya kukabiliana na changamoto ya ajira miongoni mwa vijana nchini. Afisa Msimamizi wa Taasisi…