Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai (DCI), wamemkamata Samuel King'ara Kimani ambaye ni mshukiwa wa msururu wa mauaji,anayehusishwa na mauaji ya wanawake wawili mjini Thika, kaunti ya Kiambu. Kulingana…