Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la taifa linawataka magavana kuondoa kesi waliyowasilisha mahakamani kupinga hatua ya bunge ya kuwanyima shilingi bilioni 10.5 kutoka kwa hazina ya barabara. Wanachama wa kamati ya bunge la taifa…