Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji Patricia Nyaundi amesema hakukuwa na nia wala manufaa ya kumpa Kanja adhabu kwa tukio la sasa, lakini akaonya kwamba mahakama haitasita kutoa adhabu kali zaidi ikiwa mwenendo huo utajirudia.